Mwimbaji kutoka Tanzania Rayvanny leo ameachana rasmi na lebo ya Diamond Platinumz ya Wasafi baada ya miaka sita.
Katika video ya aliyoiweka kwenye mitandao ya kijamii, Vanny boy alionyesha heshima kwa wimbo aliouimba akitoa shukrani zake kwa usimamizi ya lebo ya wasafi.
Rayvanny alitoa shukrani zake kwa bosi wake wa zamani na kusimulia baadhi ya mambo muhimu yake katika Wasafi.
+ There are no comments
Add yours