Baada ya msanii Baddest47 kulalamika kuwa kaibiwa ngoma ya “SENSEMA”…Rayvanny kupitia Insta story amemjibu Baddest47 kwa kuandika haya..
To my home Boy baddest unajua vile nakukubali na hatujawahi kua na Tofauti hata mara moja. Speaking about sensema Wewe unajua ukweli kua wimbo Tuliandaa mimi na zombie na tukatamani uwe sehemu ya wimbo huu!! Na ukatumiwa lla nilisubiri mrejesho bila mafanikio na sisi tukaendelea na project by the time umemaliza sisi tuko na plans zingine kabisa …
Mbali na hapo Team Yangu walikupigia na wakakuambia nini kinaendelea Nashangaa imekuaje hadi mambo yamefika huku Pengine haikua rizki upande wako lakini sisi Watoto wa nyumbani tushafanya kazi na sio mwisho kufanya kazi zingine, Siji ya my sis zuchu niliimba lakini kwenye wimbo sipo hio ni kawaida sana kwenye mziki. Kuna nafasi ya miziki mwingine we family
+ There are no comments
Add yours