Roma Mkatoliki Asherekea Miaka Nane Ya Ndoa Na Mke Wake Nancy

Estimated read time 1 min read

Msanii wa Hip Hop Bongo, Roma na mke wake Nancy wametimiza miaka nane ya ndoa yao.

Utakumbuka Roma na Nancy walifunga ndoa mwaka 2016 na hadi sasa wamejaliwa watoto wawili.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours