Lejendari wa soka nchini Brazil Ronaldo Nazario De Lima ameweka wazi rasmi kuwa atagombea uraisi katika shirikisho la mpira wa miguu nchini humo CBF.
De Lima anahitaji kuwa raisi wa CBF Ili kuendeleza zaidi soka la taifa hilo ambalo limepoteza Nguvu ya Ushindani.
+ There are no comments
Add yours