Ruto Azawadi Pwani kwa kuwateua Aisha Jumwa, Salim Mvurya Kwenye Baraza Lake la Mawaziri

Estimated read time 1 min read

Rais William Ruto amemteua aliyekuwa gavana wa Kwale Salim Mvurya na aliyekuwa mbunge wa Malindi Aisha Jumwa kwenye baraza lake la mawaziri.

Mvurya ambaye alihudumu kwa mihula miwili kama gavana wa kwanza wa Kwale sasa ataongoza hati ya Madini, miundo misingi ya uchumi huku Jumwa ambaye aliwania kiti cha ugavana wa Kilifi katika uchaguzi wa Agosti lakini akashindwa na Gideon Mung’aro ataongoza wizara ya utumishi wa Umma na jinsia.

Raisi kupitia muungano wa Kenya Kwanza pia iliweza kumteua Amason Kingi aliyekuwa gavana wa Kilifi kama speaker wa seneta

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours