RUTO Azindua Barabara Ya Bamburi-Mwakirunge-Kaloleni

Rais William RUTO amezindua Barabara ya Bamburi-Mwakirunge-Kaloleni yenye urefu wa Kilomita 33. Makatibu wa Baraza la Mawaziri Kipchumba Murkomen, Salim Mvurya na Aisha Jumwa, Gavana wa Mombasa Abdullswamad Nassir na wabunge wengi, MCAs na bosi wangu Hamisi Mwaguya walikuwepo.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours