Chawa wa Tanzania Mwinjaku amdis Khaligraph Jones kupitia ukurasa wa mtandao baada ya Tuzo za Trace Music Award zilizofanyika nchini Rwanda.
Hayo yanajiri miezi michache baada ya Mwinjaku kujitokeza na Kumuomba Khaligraph Jones masamaha… Yaishe “Kenya na Tanzania ni NDUGU hatuna Ugomvi”
+ There are no comments
Add yours