St. Johns Mghange wapokea hundi ya shilingi laki nne chini ya ufadhili wa Wakujaa Foundation, hafla iliyoongozwa na Balozi wa taifa la Uchina hapa nchini Kenya Zhou Ping Jian.
Akiwasilisha ujumbe wa gavana wa kaunti hii Andrew Mwadime, naibu gavana wa Taita Taveta H.E. Christine Saru Kilalo ameitaja elimu kama chanzo cha mafanikio na kuhakiki kujitolea kwa Gavana Wakujaa kushirikiana na wadau mbali mbali kuimarisha hadhi ya elimu ngazi zote.
“Azma yangu ni kuhakikisha kila mtoto anapata fursa ya kupata elimu pasi na kuzingatia jisia, rangi au kabila. Kwasasa tuko mbioni kuhakikisha watoto wanaokabiliwa na changamoto ya kifedha wanapata usaidizi ili wafikie ndoto zao.” Bi. Kilalo amesema.
Kupitia TTC
+ There are no comments
Add yours