Mwigizaji wa filamu za bongo movie Jackline wolper aliwaikuulizwa katika wanaume wote aliowai kutoka nao yupi ni EX wake bora? Majibu ya wolper akasema; kwangu Alikiba ndie EX wangu bora.
Muigizaji Jackline wolper ameibuka na kusema ata kuja kumsahau aliwaigi kuwa mpenzi wake Alikiba kwani Alikuwa akienjoy sana ,
“Sio kwamba nimemiss sana hapana hila mahusiano yangu na Alikiba yalikuwa matamu na nilikuwa na enjoy sana”,
Nikukumbushe kwamba juzi tu mtangazaji wa wasafi fm diva the bawse akuwa live instagram alisema alikiba ninoma sana kwenye swala la mahaba maana alikua anamchanganya sana aswa kitandani
+ There are no comments
Add yours