Staa wa Bongo fleva @harmonize_tz Ameachia Rasmi Track list ya Album yake ya nne (4) tangu kuanza Safari yake ya kimuziki Album hio itarajiwa kuachiwa siku ya kesho November 24/2023.
TRACK LIST
1. Personal trainer
2. Hallelujah
3. Best Woman
5. Sijalewa
6. Boss
7. Wangu mimi
8. Zanzibar ft Bruce Melodie
9. Sijui
10. Tena
11. Hawaniwezi
12. Dear Ex
13. Single again
14. Single again ft Nkosazana Daughter.
Unaipa asilimia ngapi???
+ There are no comments
Add yours