Sitafuti kiki, Sinunui views, kuachwa na Gigy money, sababu za Marioo kutonipost. Msanii B Classic 006 azungumza.

Estimated read time 1 min read

Msanii B Classic afunguka sababu za yeye kuchuja kimziki, kuachwa na Gigy money, swala nzima la Marioo kukataa kumpost licha ya kufanya kazi na yeye na tetesi ya kuwa ananunua sana views na kutafuta kiki.

Ni bidii na kujituma, Hii hapa interview nzima ndani ya NASHIPAI TV

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours