Mwanamziki Wa Kike niniofficialtz Ambaye Alikuwa Chini ya Label ya Naytrueboy Amefunguka Kwa Kuchukizwa Na vitendo Vinavyo Endelea kwenye Music Wa Bongo Fleva Hasa Mambo wanayo yapitia Wasanii Wengi wa Kike.Katika Mahojiano Amefunguka haya:•
“Jamani huu Mziki Wa Bongo Fleva Ulipofikia Si Pazuri Sana Hasa kwa Sisi Wasanii wa Kike Kuna Mda Natamani Kuacha Mziki Kabisa Yani Huwezi Kufanya Collabo Na Msanii wa Kiume Bila Kukuomba Rushwa ya Ngono Nimechoka Sasa Na Bila Mapenzi Ningekua Mbali Sana Kimuziki Yamechangia Kushuka Kwangu Kwenye Ubora Wa Muziki”-Ameongea Nini
+ There are no comments
Add yours