Alikiba aongoza kwa wasanii wanaopata pesa nyingi kutokana na nyimbo zao kuchezwa kwa radio na Tv kulinganaga na Taasisi ya Haki miliki Tanzania.
Taasisi hiyo ya Haki Miliki Tanzania COSOTA imetoa orodha ya Wasanii 21 wa Tanzania ambao wameongoza kwa kupata pesa nyingi za mirabaha kutokana na nyimbo zao kuchezwa kwenye sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye Radio na TV ambapo nafasi ya kwanza imeshikwa na Alikiba.
- Ali Kiba
- AY
- Ibraah
- Harmonize
- Diamond Platinum
- Mwana FA
- Profesa J
- Darassa
- Juma Jux
- Melody9
- Mabantu
- Nandy
- Saraphina
- Maua Sama
- Anjela
- Linah Sanga
- Mwanasiti
- Luludiva
- Abby Chamz
- Lady Jaydee
- Ray C
+ There are no comments
Add yours