Taifa Stars Yapoteza Mechi ya Kufuzu CHAN 2025 Dhidi ya Sudan

Estimated read time 1 min read

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ya Wachezaji wa ndani imepoteza mchezo wa kuwania kufuzu CHAN 2025 kwa changamoto ya mikwaju ya penati 5-6 dhidi ya Sudan.

Tanzania licha ya kufunga goli 1-0 lililofungwa na Crispin Ngushi dakika ya 33 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, kutokana na kupoteza mchezo mchezo wa kwanza ugenini kwa kufungwa 1-0 hivyo aggregate ikawa 1-1 ndipo changamoto za mikwaju ya penati ikaamua Mshindi.

Pamoja na kutolewa katika njia ya mchujo Tanzania itashiriki michuano ya CHAN 2025 kama Taifa Mwenyeji wa michuano hiyo inayopangwa kuchezwa February mwakani.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours