Tanzania Morocco imepangwa Kundi C pamoja na mabingwa watetezi

Estimated read time 1 min read

TIMU ya Taifa ya Soka ya Tanzania – Taifa Stars, imelifanya taifa zima la Tanzania kujivunia kufuzu kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2024.

MOROCCO – TANZANIA imepangwa Kundi C pamoja na mabingwa watetezi, Afrika Kusini, Ghana na Mali katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (WAFCON) zinazotarajiwa kufanyika kuanzia Julai 5 hadi 26 mwakani nchini Morocco.

Katika droo iliyofanyika Novemba 22 kwenye ukumbi wa Mohammed VI Technical Centre mjini Salé, Morocco Kundi A linaundwa na wenyeji, Morocco, Zambia, Senegal na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wakati Kundi B linaundwa na Nigeria, Tunisia, Algeria na Botswana.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours