Timu ya wanawake ya serengeti wenye chini ya miaka 17 yafuzu kucheza kombe la dunia mwaka wa 2022 litakalo andaliwa India
Kupitia ukurasa wa instagram, Raisi Samia Suluhu aliwapongeza kwa kuweka Tanzania kwenye historia ya Dunia
“Nawapa Pongezi Timu ya Taifa ya Soka la Wanawake chini ya miaka 17 (Serengeti Girls) kufuzu kucheza Kombe la Dunia 2022. Hongera kwa benchi la ufundi na wote waliochangia kufikia hatua hii. Mmeweka historia kubwa na adhimu kwa nchi yetu. Ninyi ni fahari ya Watanzania” Raisi Samia Suluhu
+ There are no comments
Add yours