Viongozi wote nchini Uganda lazima wawe na uwezo wa kuwasiliana kwa lugha ya Kiswahili, wabunge wamedai. Wabunge katika kamati ya Mashauri ya Kigeni inayoongozwa na Mh. Kiryapawo (Budaka) walisema jana mpango wa kueneza kiswahili haufai kuishia katika shule za msingi bali uwe sera ya serikali ya kujumuisha viongozi katika ngazi zote.
Lengo ni kufanya Kiswahili iwe Lugha ya Mikutano ya ndani na ya Jumuiya
Mawaziri watafundishwa Lugha hiyo kwa muda wa Saa 1 kabla ya Kikao cha Baraza
+ There are no comments
Add yours