Mgombea wa kiti cha uraisi kupitia tiketi ya chama cha Roots Party, Mh Wajakoya, aiomba mahakama kumjumuisha kwa keshi ya uchaguzi inayoendelea katika mahakama ya juu nchini Kenya
Wajakoya aliiomba mahakama kumjumuisha kwani pia yeye alikuwa mgombea wa raisi wa uchaguzi huo uliokumbwa na utata na maswali mengi kotini.
Mahakama ilikataa ombi hilo ikidai kuwa mgombea huyo wa uraisi alikuwa amekubali matokea na hakuwakilisha kesi mahakamani.
+ There are no comments
Add yours