WAKAAZI WA WADI 30 KAUNTI YA MOMBASA KUFAIDI VYANDARUA ZA MBU

Estimated read time 1 min read
Ili kuimarisha vita dhidi ya kuenea kwa Malaria, gavana wa Mombasa Nasir akiwa na afisa WA kutoka kwa KEMSA, Andrew Mulwa, walizindua  shehena ya vyandarua 932,000 vilivyopokelewa kutoka kwa KEMSA.



Vyandarua hivyo vitasambazwa katika wadi zote 30 kaunti nzima pamoja na vituo vyote vya afya vya kaunti kuhakikisha ulinzi wa kutosha dhidi ya kuenea kwa Malaria.
Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours