Wanafunzi Eneo Bunge La Taveta Kufaidika na Bursary za CDF – ELIMU

Estimated read time 1 min read

Mbunge wa eneo la Taveta Daktari Naomi Shabani leo amepeana bursaries za watoto wa shule za shilingi miliion 8.11. Wanafunzi wa maeneo ya Bomeni ward, Challa ward na Mahoo ward ni baadhi ya waliofaidi.

Waliofaidi ni wanafunzi wa shule za Taveta pekee. Na pia amepeana bursaries za shilingi 848,000 kwa wanafunzi wa shule za kitaifa.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours